Naomba msaada jinsi ya kuondoa "com.google.process.locati on" notification kwenye galaxy s4 ?

Kitaeleweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
394
Reaction score
88
Wadau naombeni jinsi gani nitaweza kutatua hili tatizo kwani kila nikiwasha simu ndo notification nnayoipata na kunifanya nishindwe kutumia baadhi ya apps kama whatsapp facebook google chrome na play store to mention a few.

yaani internet napata kwa opera tu sasa.

cc CHIEF MKWAWA
 
wadau naombeni jinsi gani ntaweza kutatua hili tatizo kwani kila nikiwasha simu ndo notification nnayoipata na kunifanya nishindwe kutumia baadhi ya apps kama whatsapp facebook google chrome na play store to mention a few. yaani internet napata kwa opera tu sasa.
cc CHIEF MKWAWA

Sidhani kama umeeleweka.. Funguka zaidi...
 
haya ngoja nijitahidi kidogo
kila nikiwasha simu inakuja na hii message "unfortunately the process com.google.process.location has stopped" madhara nnayopata ni pamoja na kushindwa kutumia internet kwenye simu yangu isipokuwa opera ndo naitumia vizuri. nadhani nimeeleweka naombeni ni jinsi gani ntaweza kutatua hili tatizo.
 
msaada jaman ata mm ilo tatizo limeanza juzi nikifungua apps kama viber watsapp insta contacts file man. name nyingine kama izo Luna popup inakuja ikisema viber has stopped unfortunately nimesha reboot na kureset na kuwipe all cache name data but still tatizo linaendelea ila operamin peke ake undo INa piga kazi..
msaada wamawazo wakuu kuflash naona iwe last option kama hazito patikana nyngine ni techno p5
 
haya ngoja nijitahidi kidogo
kila nikiwasha simu inakuja na hii message "unfortunately the process com.google.process.location has stopped" madhara nnayopata ni pamoja na kushindwa kutumia internet kwenye simu yangu isipokuwa opera ndo naitumia vizuri. nadhani nimeeleweka naombeni ni jinsi gani ntaweza kutatua hili tatizo.

hio process haihusiani na hao kina whatsapp na fb. unaweza kutumia opera sababu una acess point ya wap yenye proxy, huwezi tumia hao wengine sababu wap ina proxy na hizo app haziruhusu proxy hii ni bugs ya mitandao yetu ya simu na kila siku wanaigana upumbavu.

unatakiwa uende setting then more network then mobile network then access point ukatengeneze apn ya internet uieke iwe default badala ya hio ya wap/web
 
VP swala langu apo name mm ..maana ata file manager inastop contacts pia zinastop
 
jaribu hii settings ----> application manager ----> all ----> bottom left button, reset apps

androidpit-gapps2.jpg ikifail try hii disable downloads then restart the enable androidpit-gapps-1.jpg
 
ulivyoreset ukaeka whatsapp hapo hapo inacrash?

yan ii simu ukireset inawatsp yake ambayo utabid u update tu.. kwahiyo bada ya kureset inasema Ivyo ivyo bado yan adi contacts haifungui ukiacha apps zakudownlod
 
hio process haihusiani na hao kina whatsapp na fb. unaweza kutumia opera sababu una acess point ya wap yenye proxy, huwezi tumia hao wengine sababu wap ina proxy na hizo app haziruhusu proxy hii ni bugs ya mitandao yetu ya simu na kila siku wanaigana upumbavu.

unatakiwa uende setting then more network then mobile network then access point ukatengeneze apn ya internet uieke iwe default badala ya hio ya wap/web
mkuu CHIEF MKWAWA nimefika mpaka access point ila nashindwa kutengeneza hiyo apn ya internet na kuiweka iwe default. naomba maelekezo nifanye nn nisije kuza tatizo
 
Last edited by a moderator:

kama ni s4 kwenye button tatu chini bonyeza ya upande wa kushoto utaona neno new apn litatokea then bonyeza itakuja kama fomu ya kujaza.

connection name andika chochote
apn andika internet

kwengine kuache kama kulivyo bonyeza back utaona kwenye list ya apn zako imeongezeka hio ulioitengeneza

kuieka default kwa mbele ya hizo apn kuna viduara na yenye kiduara cha rangi ndio default eka kiduara cha rangi mbele ya apn ulioitengeneza
 
Last edited by a moderator:
yan ii simu ukireset inawatsp yake ambayo utabid u update tu.. kwahiyo bada ya kureset inasema Ivyo ivyo bado yan adi contacts haifungui ukiacha apps zakudownlod

kwa style hio huenda system imecorupt. ukieka firmware upya itakaa sawa. ila hii ni last solution unaweza angalia solution nyengine kwanza
 
kama ni s4 kwenye button tatu chini bonyeza ya upande wa kushoto utaona neno new apn litatokea then bonyeza itakuja kama fomu ya kujaza.

connection name andika chochote
apn andika internet

kwengine kuache kama kulivyo bonyeza back utaona kwenye list ya apn zako imeongezeka hio ulioitengeneza

kuieka default kwa mbele ya hizo apn kuna viduara na yenye kiduara cha rangi ndio default eka kiduara cha rangi mbele ya apn ulioitengeneza

shukrani sana mkuu CHIEF MKWAWA nimefanikiwa kufix hili tatizo nakuombea uzidi kupata hii elimu. thank u very much
 
Last edited by a moderator:
kwa style hio huenda system imecorupt. ukieka firmware upya itakaa sawa. ila hii ni last solution unaweza angalia solution nyengine kwanza
kama ipi em nambie niifanyie kazi.... yoyote inayoweza tibu
 
Back
Top Bottom