Jinsi ya ku download WhatsApp kwenye Window Phone

Naja naja

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
747
1,452
Msaada jinsi ya ku download WhatsApp kwenye Nokia Lumia 610.

Pia namna ya ku connect internet maana inaunga internet kama itaunganishwa na WiFi ya simu nyingine.

Msaada.
 
Msaada jinsi ya ku download WhatsApp kwenye Nokia Lumia 610.

Pia namna ya ku connect internet maana inaunga internet kama itau ganishwa na WiFi ya simu nyingine.

Msaada.
Signup for Microsoft account, Kisha uta access window store na mambo ya facebook, instagram, Snapchat na WhatsApp yanajipa.
 
Msaada jinsi ya ku download WhatsApp kwenye Nokia Lumia 610.

Pia namna ya ku connect internet maana inaunga internet kama itau ganishwa na WiFi ya simu nyingine.

Msaada.
Hii haiwezi kuingia whatsapp na internet umetengeneza Apn? Nenda kwenye setting kisha tafuta neno cellular ama connection ama mobile network na yafananiayo kisha kwenye Apn kama hakuna tengeneza mpya yenye neno internet
 
Sawa
 
kama bado unatumia nokia lumia sahau whatsaap washaachana na window muda tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii haiwezi kuingia whatsapp na internet umetengeneza Apn? Nenda kwenye setting kisha tafuta neno cellular ama connection ama mobile network na yafananiayo kisha kwenye Apn kama hakuna tengeneza mpya yenye neno internet
dah sina habari, ubize mwingi kumbe hadi nokia wamewatema mi nilijua huawei pekee.
 
Back
Top Bottom