Naomba msaada jinsi ya ku-update FB Status

ni jinsi gani naweza update status kwe fb na mwishoni ikasema sehemu niliko

Kama unatumia simu inabidi uruhusu kitu kinaitwa Location & Tracking!! unaweza ukatafuta ka icon flani hivi kamekaa kama mshale, hako ukiclick kanaomba ruhusa kwako kama unakubali kushare location, ukipost location yako inaonekana.
Kama ni kwenye computer! kuna vi-icon pale chini, mbele ya icon ya ku-tag mtu, kuna icon ya location, pale ukiclick unachagua location ulipo, ukipost inatupia kitu hewani
 
Back
Top Bottom