Naomba msaada jamani,are we being ruled by the occult?

Kwamhuzi

JF-Expert Member
Nov 15, 2014
1,762
400
System tunayoishi is controlled by numbers,tena number zenyewe zina maswali mengi ya kujiuliza:1.Siku moja ina saa 24.(2+4=6).Namba 6 ina utata kwa kuwa it is an occult number.2.Saa moja ina dakika 60(0+6=6).Hii namba inajirudia tena.3.Saa moja ina sekunde 360(3+6+0=9).Uki invert 9 unapata 6. Kwa hiyo namba hii inajirudia tena.In the occult tisa na sita hazina tofauti.4.futi moja ina inchi 12.(1+2=3).Namba 3 is less intense than 6,but is an occult number.Note that one yard has 36 inches(6x6).Both 3 and 6 are occult numbers.Lakini 3 x 6=18 ambayo ni 6+6+6(Namba ya the antichrist).Ndege nyingine za kivita za Marekani siku hizi zimekuwa marked 666.Is it coincidence?Lakini pia 3+6=9(inverted equals 6) 5.Timu ya mpira ina wachezaji 11 again an occult number.6.REMEMBER September 11(Namba 9/6 na 11 zinajirudia.Ni bahati mbaya?Mwaka una siku 365.Namba 3,6 na 5 zote ni occult numbers.Lakini 3+6+5=14.Ukijumlisha 1+4=5.You know the significance of the pentagram in the occult.The Pentagon ina pembe tano ndio maana inaitwa Pentagon.7.Duara lina degrees 360.Hii nadhani nimeshaiongelea.Mwaka una miezi 12.Namba 12 nimeshaiongelea.Majina ya siku zote na miezi yote ina origin ya Miungu ya kipagani.Naomba msaada jamani,are we ruled by the occult?Mwenzenu ina nikera sana.Yako mengi mengineyo,haya ni machache tu.Na ni nani hasa aliyepanga kwamba saa iwe na dakika 60 nk.nk.?
 
haya ya kulazimiasha tu mbona kwingine hujageuza 6 ikawa 9 ila kwenye 360 ili ku-justify unachoamini imebidi ugeuze 360=9 juu chini ili iwe 6.
Ni uongo uongo tu unaweza kukutana na mtu akatumia uongo akakudanganya kweli kuwa wewe umerogwa na ndugu yako mpaka ukaamini. Ni mtu tu kucheza na mind ya mtu.
 
mleta mada upo sahihi,ndio dunia tunayoishi! Mbona hiyo ni manyunyu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom