Naomba msaada wa idea au connection or something great katika safari yangu Morogoro

robbertisaah

Member
Dec 13, 2019
46
56
Habari za muda wakuu,

Mimi ni muhitimu wa diploma katika kada ya INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY (ICT) ni mwenyeji wa NJOMBE.

Kiukweli tangu nmalize chuo mwaka Jana nilirud home nikapata part time job za hapa na pale nikafanikiwa kujichanga 1 MILLION asa nnahitaji kwenda kuanza maisha yangu pale Morogoro.

Ninaomba mwenye idea kuhusu biashara Gani au jambo Gani la kimaisha ninaweza nikaenda na kulitimiza Kwa bajeti yangu.

Hiyo pesa ni nje na pesa ya kula kuvaa Kodi na vitu vya kujikimu nikiwa pale means nna reserve ya kulinda uhai nikiwa hapo.

Nawasilisha wakuu
 
Kwann mkuu
Kuna utapeli mwingi kwenye madini,hasa kama huna ujuzi wa
kutosha juu ya madini.
Kwa kuwa ndyo unaanza jikite
kujiimarisha kwanza.
Kuna fursa nyingi tu pale
mji kasoro bahari,MF;Saloon za kiume,biashara ya nguo za mitumba,mabegi nk.
Hasa ukiwa fair kwenye bei.
 
Fungua kibanda weka computer uwe unafanya kazi ya kuburn CDs,unachaji simu,huku unauza phone na computer accesories,unapiga picha za passport size,photo shooting & editing kisha utakuwa unaipanua biashara polepole hii ndio inakufaa kwa fani yako.
 
Back
Top Bottom