Step by step
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 1,190
- 1,324
kwenye desctop inafunguka bila tabu. kwenye tablet natumia opera
Tatizo la Opera ni kwamba inapitisha data kwenye server zao so Yahoo inadetect kuwa unajaribu kuaccess email kutoka nchi tofauti na unayotumiaga ukiwa desktop na inablock.
Kutatua taizo unaweza ukaenda full yahoo mail version kwenye Opera yaani sio yahoo mobile (https://login.yahoo.com/config/mail?.intl=uk&.src=ym) then ukisha login unaweza kurudi kwenye mobile version na utakuwa logged in.
Pia unaweza kuzima feature ya kupunguza matumizi ya Data kwenye Opera ipo kwenye settings za Opera. Ukizima Opera itaconnect moja kwa moja yahoo na kutopita server zao so itafanya kazi.
Kama ni tablet ya Android jaribu kutumia browser nyingine kama ile inayokuja na Android au Install Chrome (https://play.google.com/store/apps/details?id=com.android.chrome) pia jaribu kuinstall App ya Yahoo Mail (https://play.google.com/store/apps/details?id=com.yahoo.mobile.client.android.mail)
Hili tatizo tofauti, kama umesahau password na recovery nayo haiwezekani hautaweza kuipata hiyo email.HABARI Mkuu/wakuu. Mimi pia email yangu ni ya muda mrefu kini imegoma kabisa ku login, nimefanya kila niwezalo hadi kuwapigia simu yahoo lakini kila nikipiga naambiwa niwe patient simu itaunganishwa na customer care lakini haiunganishwi hadi pesa inakata kwenye simu.
Email yangu niliweka namba yangu ya simu ya nje ya nchi kwa maana nilkua naishi huko hivo nikitaka kui recover kutumia namba yangu ya simu inakua shida kwa maana sasa sipo huko nipo Tanzania. Pia ile secondary email kwa ajiri ya ku recover pia sikumbuki niliweka email gani maana ni muda mrefu sana nilipofingua hio email hivo particulars nyingine sizikumbuki. Pia sikuwahi kuweka security question.
Naombeni msaada wana JF maana hii email yangu ni muhimu sana kwangu. Hivi kalibia mwezi wa nne nahangaika nayo lakini nimeshindwa.
Hili tatizo tofauti, kama umesahau password na recovery nayo haiwezekani hautaweza kuipata hiyo email.
Nakushauri jaribu kufufua hiyo Simu yako kisha fanya roaming, utaipata sms hata TZ, yahoo sidhani kama watakusaidia ukiwapigia.
Hata kama ni simu ya abroad ukiwa nayo nje ya ya nchi na ukawa una roam yaani simu itakuwa konnected na moja ya mitandao ya bongo basi utapata sms zako. Kutegemea na provider/plan yako ya huko nje inaweza ikabidi uwaambie wawashe hiyo roaming. Pia simu yako inabidi iwe compatible na mitandao ya bongo.Asante mkuu kwa ushauri wako mzuri. Ila sijakupata vizuri uliposema nijaribu kuifufua hio simu yangu kwa maana ilikua ni simu namba ya huko huko abroad na kwa sasa sipo huko, hapo kidogo nijulishe zaidi mkuu.