Naomba msaada "Downloading error 941" kwenye Samsung s3

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,650
Reaction score
3,819
Wadau natumia samsung galaxy s3 ambayo alikua anaitumia dogo wangu ila kila nachotaka kudownload kinakataa
Yani App yoyote nayotaka kudownload toka playstore inasema Could not downloaded due to an error (941)

Na nili remove google akaunt nikaweka ya kwangu
Msaada wenu tafadhali

Cc CHIEF MKWAWA
 
Kaka resert iyo phone yako irudi upya uanze mwanza kama ulivyonunu nafikir tatizo litaisha Kumbuka kutoa memory card na line yako wakat unaresert halafu urudishe feedbuck tuone
 
kaka error nyingi za playtore zinasababishwa na setting mbovu zinazotoka kwenye mitandao yetu ya simu. hebu nenda setting then kwenye wireless and network click more setting then nenda mobile network then access point name. angalia setting za internet hapo je ni wap, web au internet?
 
Ni wap bro na natumis airtel
 
Kaka resert iyo phone yako irudi upya uanze mwanza kama ulivyonunu nafikir tatizo litaisha Kumbuka kutoa memory card na line yako wakat unaresert halafu urudishe feedbuck tuone

Shukran mkuu, ntatoa feedback
 
Ni wap bro na natumis airtel

wap haiwezi kudownload playstore sababu ina proxy rudi tena hapo halafu fanya hivi.

bonyeza button ya menu (button ya chini upande wa kushoto pembeni ya home button) utaona option ya new apn then bonyeza,

connection name andika mwamba
apn andika internet

bonyeza button ya back utaona kwenye list ya apn kuna mwamba imeongezeka iactivate kwa kuiekea dot kwa mbele tatizo lako litaisha
 
Shukrani mkuu, imekua fresh nw, then vp kuhusu hii jf app mana nimeinstall ila nkiifungua inaishia kwenye plz wait
 
Back
Top Bottom