Tuweke ushabiki kandoo.. Nataka kujua nani ana mzidi mwenzake haswa katika nyanja zifuatazo;
1. Marketability
2.payment
3. Allowances.
Pia nataka kujua baada ya kuchora ramani archtecture anakuwa anafanya nini wakati ujenzi unaendelea? Na je? Quantity Surveyor akishafanya bills of quantity anafanya nini zaidi?
thanks in advance team ARDHI.