naomba mnitafutie kazi jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naomba mnitafutie kazi jamani

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mbenye, Mar 26, 2011.

 1. m

  mbenye Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio kwanza najiunga naomba mnitafutieni kazi watanzania wenzangu nimejitahidi nimekosa mimi ni graduate wa sua
   
 2. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Pole sana Mbenye
  Umesoma course gani , labda ungetuma CV ingekuwa bomba, ndio umemaliza hivi karibuni, usikate tamaa kwani wote tumepitia hayo ndugu yangu. I really can feel you man/woman.
   
 3. m

  mbenye Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo cv nitaituma vipi
   
 4. G

  Godwine JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  tafuta mtaji uanze kufanya biashara..............eg stationary ............tueleze rasilimali ulizonazo tukushauri kazi ya kufanya
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  duh pole...tupo wengi man jobless....lol
   
 6. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Toa details za course yako utasaidiwa.
   
 7. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  attach soft copy. Jamii Forums sidhani kama wana sanduku la posta. Advantage ya wewe kutuma soft copy ni kwamba itatufikia wengi na kwa muda mfupi.
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  watu mnaowapaga ushauri kama huo watu wanaotafuta kazi huwa mnanichosha!!!
  Sasa mtu kazi hana, mtaji akatoe wapi jamani!?? Muelekeze japo namna ya kupata huo mtaji.
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  kwenye hiyohiyo thread yako jielezee zaidi. Maelezo maduchu sana hayajitoshelezi mkuu.
  Unapotoa tangazo la kutafuta kazi usiwe domo zege. Humu humu watu wanapima hata uwezo wako wa kujielezea. Ile usiandike mambo mengi nayo yatachosha watu.
  Ni hayo tu.
   
 10. G

  Godwine JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  lazima tufike wakati wa kuangalia mfumo mzima wa ajira a si mtu kwani kwa mazingira ya sasa inawezekana vijana 3 wakajiunga na kutafuta photocopy machine 1,500,000 na kompyuta 200,000 na printer 100,000 wakafungua stationary na kuanza maisha yao ikitokea wamepata kazi nyingine mbeleni ni vema lakini si wakati wa kusoma na kutegemea ajira za serikali
   
 11. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #11
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  wana JF watakusaidia,jitahidi kujaza nyama kidogo kwenye maelezo yako
   
 12. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #12
  Mar 27, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,228
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Lete cv yako ni pm tafadhari
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  haya, mi naomba nijiunge na wewe. Ila natoa wapi hela ya kuchangia? Nipe mbinu zaidi.
   
 14. Mfatiliaji

  Mfatiliaji Senior Member

  #14
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  mbona pango haujazungumzia au unafungulia hyo biashara geto.acheni kurahisisha mambo.tatizo walioajiriwa wanashauri wenzao kujiajiri afu wao wanabaki wameajiriwa.non-sense!
   
 15. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Graduate wa SUA course ipi?
   
 16. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  umeona eeeh! Ni kama wamekariri formula kwamba mtu akija kutafuta kazi jibu la kumpa ni ajiajiri.
   
 18. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #18
  Mar 28, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Hapo sasa me huwa sipendi kabisa....kwa nini kila mtu asifaidike????inakuwa sio vizuri kabisa aise.....hahahha
   
 19. J

  Jobless B Member

  #19
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah kumbe 2po weng, ushauri wa kujiajiri ni mgumu na unachallenge zake (1) lack of capital (2) experience (3) most of us graduate we are n't ready psychologically to be entrepreneur,(4) poor gvt policy (5) condtn of gettn loan frm micro- fnc usiombe! Mi mwenyew ni graduate wa sua lakn college muccobs wa procurement, so 2peni mawazo mengine lakn cio ujasiriamali kama nnavyo dai
   
 20. G

  Godwine JF-Expert Member

  #20
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Cha msingi lazima mtambue kwasasa ajira zimeshaingia kwenye wewe ni mtoto wa nani ? unafahamiana na nani? kwani Tazama jinsi magazeti yanavyotangaza kazi kwa wingi lakini Zinajazwa na wale wale sasa ushauri wangu kwa vijana wenzangu ni kujenga Tabia ya kufikiri kujiajiri zaidi na pindi wenye nafasi ya kujiajiri wakijiajiri basi wengine watapata ajira tokana na miradi ya waliojiajiri
   
Loading...