Wanajamii wenzangu mupoooo!!!
Ningependa kuwakumbusha kuwa leo ni sikukuu ya ''matumizi bora ya mtandao duniani''
So kwa wale mliozoea kupromosha mimatusi kwenye mtandao utafikiri button mnazotumia kuandika zimeundwa kwa kinyesi
naomba mtupishe tafadhar!