Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
- Thread starter
-
- #21
Hahahahahahaaaa ila nyinyi wanaume ndo mna tabia hizo ila sisi wala hatuna shida...........tatizo hamna moyo wa kusubiriaBaada ya kutumiana kwa muda tu....
Wengine wakikubaliana na wewe juwa mechi za michangani zinapigwa
Mbona nasikia kuna wanaume wengine uwa wanafanya sex after marriage au uwa tunadanganyana sisi wasichanaKama mwanamke hajatolewa utando wake Mwanaume anaweza kumusikiliza na akajikaza hadi ndoa.
Lakini kama ni vinginevyo...ngumu sana mwanaume kuvumilia.
Utaumiaje moyo sasaInawezekana ila tu km haumpendi ila km unampenda jiandae kuumia moyo
Jiandae kukimbiwaUtaumiaje moyo sasa
Nyie ndo hamuwezi kabsa kutokana na tamaa zilizo watawala maana Ke akipata tatzo tuuuu kidgo hawez kuvumilliaTatizo naona lipo kwa wanaume ila kwa sisi wadada hatuna hilo tatizo tuna moyo wa kuvumilia sana
Hahahahahaaa haya bhanaJiandae kukimbiwa
Sio wanawake wote.......wengi tuna moyo wa uvumilivuNyie ndo hamuwezi kabsa kutokana na tamaa zilizo watawala maana Ke akipata tatzo tuuuu kidgo hawez kuvumillia
Hahahahahahahaaaa ila hapa ninachosema ni kuwa wote wawili mnakuwa mnajua vizuri tu sema ndo mnaambiana kwamba no sex kabla ya ndoa.....ina maana hili haliwezekani?Ntakujuaje kama ni mwanamke maana kuna mtu alioa mwanaume mwenzake na ndoa akaibariki shekhe sasa serikali inamtafuta kama wezi wa kibiti
Siwezi kusema hawapo..lakini ni wachache mno.Mbona nasikia kuna wanaume wengine uwa wanafanya sex after marriage au uwa tunadanganyana sisi wasichana
Hata me wapo wenye uvumilivu ila kama hujatolewa utepe....ila kama ushatolewa huko...afu uje umwambie akusubir hiyo ngumuSio wanawake wote.......wengi tuna moyo wa uvumilivu
Ila uvumilivu ni muhimu sana hasa kwenye issue kama hiziUWEZEKANO UPO NA NI KWELI KIPO KATIKA JAMII YETU ILA wachache sana wanaoweza kuvumilia
Ni kweli kabisa japo yataka moyo wa ziada kuepuka vishawishi vya hapa na paleIla uvumilivu ni muhimu sana hasa kwenye issue kama hizi
Kwahiyo unataka kusema kama mwanamke ameahidiwa na mtu wake wasifanye hivo mpaka ndoa hapo ina maana mdada atakuwa anadanganywa tuSiwezi kusema hawapo..lakini ni wachache mno.
Mwanaume rijali kumaliza mwaka bila tendo ni shughuli pevu labda kama ndoto zilizolowa zinakutembelea sana.
Hapo kwenye kutolewa utepe sijui ni ngumu kwa kuwa nayo kwa kweli........kwahiyo unamaanisha ni vigumu kwa mwanaume kuvumila muda wote huoHata me wapo wenye uvumilivu ila kama hujatolewa utepe....ila kama ushatolewa huko...afu uje umwambie akusubir hiyo ngumu
Ila hapo ndo napoona wanaume wengi wanafail kwa kutokuwa na uvumilivuNi kweli kabisa japo yataka moyo wa ziada kuepuka vishawishi vya hapa na pale
Yeah kutokana na nature yetu wanaume kwa hisia za kimwili inakuwa ngumu muda mwingine...ndio maana wanaoweza wachache 2/10Ila hapo ndo napoona wanaume wengi wanafail kwa kutokuwa na uvumilivu
Hapana,wapo wanaoweza kutumiza ahadi zao lakini siwengi kihivyo.(walio wengi wanacheza rafu )Kwahiyo unataka kusema kama mwanamke ameahidiwa na mtu wake wasifanye hivo mpaka ndoa hapo ina maana mdada atakuwa anadanganywa tu