Naomba mnisaidie kimawazo

Poleee.. Wivu kwenye mapenzi ni kama chumvi kwenye chakula.... Ni muhimu ila ukizidii au kupunguaa inakua sio poaa👍
 
Achana naye komaa na Mjerumani wako
Kimekuuma jamani na huyo mjerumani , hayupo karudi mwezi uliopita kwao sasa nasubiri akija tanzania ndio tuone hanaga shida kujua mengi kuniusu aisee . Ila huyu ndio shida sana halafu anajua kuwa nipo na huyu mjeru ila ananiganda sana kabisa
 
Ndugu achana na huyo mtu..

Nilikuwa na mtu kama huyu aisee nilikaribia kuchanganyikiwa halafu ni wajanja wanakutambulisha haraka haraka ili usimwache kirahisi

Nashukuru Mungu nilimuacha japo kwa mbinde mpk Leo hakubarigi tu nimemblock kila idara

Wengi humu watakuona wa ajabu et unaringa trust me wanaume wa hivyo ndio wanaongoza kwa kuwaua wapenzi wao na kujiua

Kimbia shogaa hakuna mume hapo unajitafutia kifo tu
 
Inabidii niachane naye kabisa
 
Naomba jinsi yakumuacha maana ukimuacha hakuelewi eti kuwa umemuacha
We muache tu, ipo siku utaandika uzi mrefu wa kutafuta mwenza.

Ukitumia akili kidogo, ukajishusha na kumweleza usiyoyapenda anaweza kubadilika.

Tatizo mnatska wanaume waliokamilika au mabwege ambayo kila kitu ukitaka kufanya anakuruhusu na unarudi muda uutakao.

Kuolewa usipotumia akili ni sawa na gereza, ukitumia akili kidogo pia utambadili mmeo mtazamo wa mambo na mtaishi poa tu
 
Achanaa nae DA maua wala asikukaushee kizaziii, hukuzaliwa nae huyoo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Danga kwenye ubora wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…