Naomba mnisaidie kimawazo

Naomba mnisaidie kimawazo

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,841
Reaction score
25,351
Sasa nipo serious kidogo , So siitaji keroo.

Nauliza tu hivi kwa hawa wanaume wanaokupenda , wanakujali halafu mwisho wa siku wanawivu mno sana , ukiwa sehemu hii nimekuona , wapi sehemu fulani upo nafulani ninani yako?? Sasa yeye hana kazi,kazi ni yakukufuatilia wewe tu??

Halafu simu ikiita anakaa karibu kujua huyo ni nani kwanini kakupigia kwa huo mda halafu anaongea maneno yanaumiza moyo kama vile umemuua yeye sasa ni roho tu inakuandama.

Huli , ukai kwa amani kisa mtu kama huyu yaani kila wakati anakuandama mpaka anakupangia jinsi yakuishi jamani. Hivi utamuachaje mtu kama huyu aende kwa amani ??

Maana ni kero kweli unachoka akili , mwili,kiroho yaani unaamua kulewa nakulala usimsikie na unaweka head phones, ili akikuongezea maneno usimsikie jamani huyu mtu ni umiza kichwa analaumu kwa kila kitu hachoki kabisa .

Anaboa kabisa sana sana.... aisee kunaboa kabisa
 
Sasa nipo serious kidogo , So siitaji keroo.

Nauliza tu hivi kwa hawa wanaume wanaokupenda , wanakujali halafu mwisho wa siku wanawivu mno sana , ukiwa sehemu hii nimekuona , wapi sehemu fulani upo nafulani ninani yako?? Sasa yeye hana kazi,kazi ni yakukufuatilia wewe

Anaboa kabisa sana sana.... aisee kunaboa kabisa
njoo kwangu uondoe stress
 
Sasa hivi anaweza kua king'ang'anizi unamuacha.

Ila baadae tutakuona ukitoka kwa Mwamposa kuomba Mungu akupatie Mume, huku ukiwa umeshika maji na mafuta.
Sasa nifanyaje kama ndio shida hiyo Imekuwa hivyoo maana imekuwa mbaya hali ni mbaya
 
Screenshot_20230429-223154_Chrome.jpg
njoo huku upande wa pili, utaipenda show!
 
Back
Top Bottom