Iam_hillary
New Member
- Apr 4, 2022
- 1
- 2
Hello JF, naitwa Hillary Ni mgeni humu kwa heshima na taadhima naomba mnipokee.
Na kweli.Umekuja asubuhi asubuhi hata hatujaamka kwanini? Anyway karibu weka picha tukufahamu
lalekiKaribu Jf Mkuu
Tuone picha yako my
sijapendatulia we baba
sijapenda
kidogo tu ushamuita my mhHujapenda nini Kenzy?
unatafuta mume kwanijamani
asalaleee Sasa nini chakusumbuaHapana my![]()
Karibu mjengoniHello JF, naitwa Hillary Ni mgeni humu kwa heshima na taadhima naomba mnipokee.