Hello wa kina Baba, Mama, Kaka, dada, na wadogo zangu salamu ziwafikie.
Najitambulisha kwa jina la DEKA mgeni ndani ya nyumba ya maarifa.
Nipokeeni kwa mikono miwili ktk Bustani hii ya mawazo ili nami niwe mpandaji tkt bustani hii nzuri hapa nyumbani.
Asanteni.