naomba mnipokee kwa mikono miwili

makoye78

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
672
229
kwa muda mrefu nimekuwa nikisoma post kama guest..baada ya kunogewa na Jamiiforums sasa nimeamua kuingia mzima mzima hivyo wana jamvi naomba mnipokee. pamoja tumethubutu, tumeweza na sasa tunasonga mbele
 
Tulikusubiri muda mrefu mno ndugu, anyway hujachelewa , welcome in!
 
karibu makoye. wewe ulikua unacheza namba 9 umitshumita au namba 3?
 
Karibu sana,usiingie kwanza subiri wabanduaji waje wakubandue maganda.
MP.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom