Naomba mnipokee Arusha

habar zanu wana jf..nimewamis cna kwa kweli
Sa me apa naenda arusha kesho ntakuwa huko kwa miezi minne kikaz sa me apa nahiyaji wanajf wawe waliopo arusha wanipe kampani km huwa mnaonana iyakuwa vzr na me nijimuike nao
Thanksw

Kama upo serious fuata ushauri wa Jackbaure au SaharaVoice naona utakuwa umekata mzizi wa fitna. Nimeona katik thread nyingi za watu kuomba kukaribishwa Arusha watu hao wanatajwatajwa.

Anyway siku ukija Mbeya don't miss to notify your presence utapa kila kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom