Sasa mbona una macho mekundu au unatumia koroboi..Mimi ni mwanamke
Dah....
Karibu sanaHabari zenu wapendwa, kwa muda mrefu nilikuwa napitia na kusoma mambo mbali mbali kwenye huu mtandao, sasa nimeamua rasmi kuwa member, naombeni mnikaribishe.
Ahsanteni