chek YouTube yapo maelekezo jinsi ya kuitumiahiyo adobe nilishindwa kuitumia
Hiyo ni ya SIMU au PC..???Adobe Photoshop Cs6
Adobe photoshop ndio mpango mzimaCc tunaitaka inayoweza kuchange pic ikawa kama ivo ila iwe ni apps ya cm na sio pc
Nilijifunza editing kwa photoshop mpya ya mwaka jana...kiasi kwamba mpaka illustrator siikubali ...photoshop is the besthiyo adobe nilishindwa kuitumia
Hapo katumia cartoon effect na blur effect. Photoshop is the bestJaman samahann naomba mnijuze application ambayo itanisaidia kubadili sura halisi ya ki2 na kuifanya ilete mwonekano mwngne
Mfano ni picha hii imechenji kdg from original :
View attachment 431752
Nyinyi mnataka? Tengeneza yako utumie kwenye simuCc tunaitaka inayoweza kuchange pic ikawa kama ivo ila iwe ni apps ya cm na sio pc
I see una kiherehere!!!!!! We utakua mwanaume we DarAdobe photoshop ndio mpango mzima
Nilijifunza editing kwa photoshop mpya ya mwaka jana...kiasi kwamba mpaka illustrator siikubali ...photoshop is the best
Hapo katumia cartoon effect na blur effect. Photoshop is the best
Kwanini unasema nna kiherehere ndugu?? Kwa comment yako je mimi na wewe nani anakiherehere?I see una kiherehere!!!!!! We utakua mwanaume we Dar
MECHANISIM INAYOTUMIKA NI KAMA KUCHORA REALLY KWA MKONO, NDIO MAANA HUWEZI IKUTA KWENYE SIMU, WANAOENDA YOUTUBE KUANGALIA BILA KUWA NA BASIC YEYOTE HUISHIA KUFANYA VIBAYA, MAANA KUNA BAADHI YA MAMBO YANAHITAJI UJUZI BINAFSI WA SOFTWARE HUSIKACc tunaitaka inayoweza kuchange pic ikawa kama ivo ila iwe ni apps ya cm na sio pc