Naomba mnijuze kidogo wakuu

Naomba mnijuze kidogo wakuu

Tanki

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
538
Reaction score
248
Habari wakuu.

Naomba kuuliza. Nina TV ( frat screen ) inayotumia umeme wa DC . Swali langu ni je ninaweza kuconect playstation kisha nikacheza game??? na je kuconect Deck ya DVD?.

NB: TV inatumia DC ( betri ya gari )

CHIEF MKWAWA
 
Last edited by a moderator:
Hapo soma plate name ya appliances zako kwa Ps nadhani AC sijawah ona za DC ila pia Deki nazo mostly ni AC cha kukushauri Nunua inverter kwa ajili ya kubadili Huo umeme toka Dc to Ac kwa izo appliance mbili .DC itabaki inatumika kwa TV...Fundi nipo uko wapi kiongozi?
 
Habari wakuu.

Naomba kuuliza. Nina TV ( frat screen ) inayotumia umeme wa DC . Swali langu ni je ninaweza kuconect playstation kisha nikacheza game??? na je kuconect Deck ya DVD?.

NB: TV inatumia DC ( betri ya gari )
CHIEF MKWAWA
Kwa habari ya hiyo TV kutumia umeme wa DC haiwezi kumzuia mtumiaji kui-link na vifaa vingine visivyotumia umeme wa dc(yaani vinavyotumia umeme wa AC). Hii ni kwa sababu umeme huo wa dc uliotumika kwenye TV haufanyi kazi moja kwa moja pasipo kubadilishwa na kuwekwa tayari kwa matumizi(yaani kuufanya uwe converted, (i e, DC to DC convertion na DC to AC convertion), na hatimaye umeme huo uliogeuzwa kuwa tayari kwa matumizi kama vile kuwasha taa(yaani CCFL au LEDs), ICs, transistors, etc... Kulingana na namna TV hiyo ilivyoundwa.
Hali kadhalika kwa upande wa vifaa vinavyotumia umeme wa AC, vimeundwa kwa namna ambayo itafanya umeme huo kugeuzwa na hivyo kuwa tayari kwa matumizi(yaani kupitia kwa power supply ambayo ime-contain AC to DC converters ie rectifiers, DC to DC converters ie regulators, filters ie capacitors, etc...) Na hatimaye kupatikana kiasi cha umeme ambacho kitafaa kwa matumizi ya kifaa hicho.
Kutokana na maelezo hayo, ninaweza kusema kuwa, appliances zinazotumia DC, si tatizo kwazo kuunganishwa na zile ambazo hutumia AC kwani hapa kinachohusishwa ni usafirishaji wa ishara(signal transferring) kutoka kifaa kimoja kwenda kifaa kingine eg, kutoka DVD deck kwenda kwa TV, na si kusafirisha voltage!..

BILA SHAKA NIMEKUONDOA WASIWASI ANGALAU KIDOGO. AHSANTE...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom