Naomba mnifundishe kutumia mtandao wa X'

Naomba mnifundishe kutumia mtandao wa X'

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,008
Reaction score
28,342
Yaani nikitaka kuposti maneno au ukurasa mzima nafanyaje .

Maana hata kwa kuandika naona kama kuna mwisho wa tarakim fulani hata nifanyeje haiendelea hata kupost labda maneno nimekopi kama ni ukurasa fulani haikubali je !hua mnafanyaje msaada hapa
 
Nenda Google andika X mara 3, utapata maelezo mengi kwa njia utakoyo wewe, kwa picha au video, baada ya hapo urudi hapa kutoa shukurani zako.
 
Back
Top Bottom