Naomba mchango wako

Tafuta mchumba uoe utapata cha kufanyia na pesa zako....
 

Mmmmh ebu tufikirie kwa pamoja. Hatuna uhakika lakini tuchukulie kwamba ni mhitimu wa chuo kikuu. Mshahara wa kuanzia serikalini kwa sasa (mwenye tarakimu kamili atujuze) ni kama laki 7.

Maisha ya siku hizi anasema pamoja na kununua simu na nguo nzuri kila mwezi bado anabaki na hela nyingi tu. Simu nzuri gharama yake kiasi gani?. Nguo nzuri gharama yake kiasi gani? Bado anaonyesha ni mtu wakujirusha. Huko nao kuna gharama kibao.

Hesabu za haraka zinaoyesha ukosefu wa ukweli katika thread hii. Hata hadithi ya kutunga lazima iendane na hali halisi ya maisha. JF watunzi wamekuwa wengi lakini wanakiuka kanuni za utunzi.
 
Hapa shy uoko kipande ipi ndugu yangu jioni nikupitie
 
Nikupe Siri Mwana ibin Ramadhani, Leo wewe kijana !! Ok kesho umri utavuta utakuwa Lizee fulani !! Mdogo wangu weka akiba, punguza mishemishe yako, jiweke plan lini uaanzi married status. Kama huwezi kuzuia matamanio ya fedha zako. Basi Badilsha serufi (Money Exchanger) uzieke katika dollar (USD).
Hongera utakapo ibuka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…