Naomba mchango wako

Mchango wa mawazo na namba ya simu yako vina uhusiano gani?

Hiyo serikali inayokulipa mshahara ambao unatumia kwa nguo na simu na mwingi unabaki kwa umri wa miaka 22 na uzoefu wa miezi 6 ni ipi? Serikali hii ya Tanzania. kwa scale hii ya TGS?!!

kwani unalazimishwa nimekuja kuomba mchango ndugu au mpaka nikwambie nipi s.gani
 

nisinge weka namba ya simu,kuna vichwa ngumu wangeuliza tu mbna namba ya simu hijaweka,nw nimeweka oooh mchango na namba ya simu vinahusiana nn, kweli ubinadamu kazi
 
Umetoa na namba kabisa worry out subiri hapohapo usitoke wachunaji watakupigia wakufundishe jinsi ya kuzitumia.

Hiyo namba imewekwa purposely...

Haka ka bwa mdogo kanataka tu kuwanasa wadada wenye ulafi na pesa za wanaume...
 
Hiyo namba imewekwa purposely...

Haka ka bwa mdogo kanataka tu kuwanasa wadada wenye ulafi na pesa za wanaume...

ah ah ah ah ah binadamu jamani kwahuo kuomba mchango wenu na kuweka namba mnafikilia tofauti kabisa eeeh kazi ipo.
 
endelea tu kununua kila aina ya model ya simu na sasa mwezi ujao kama sikosei kuna iphone 6 inakuja,..
na pia kuna marba ya kijanja kama airmax,jordan, na timz kali zipo kwa soko..!sijui kama huko zipo hii kitu?!
 
Mchango wa mawazo na namba ya simu yako vina uhusiano gani?

Hiyo serikali inayokulipa mshahara ambao unatumia kwa nguo na simu na mwingi unabaki kwa umri wa miaka 22 na uzoefu wa miezi 6 ni ipi? Serikali hii ya Tanzania kwa scale hii ya TGS?!!

Nisaide kushangaa, manake me nimebaki kujiuliza bila majibu
 

Napata shida ya kuelewa lengo la kuomba msaada wako.
Pesa unatumia na inayobaki pia ni nyingi...je shida uambiwe namna mzuri ya kufanyia kiasi cha pesa kinachobaki kwa maendeleo yako
Ama upewe msaada ili ujizuie kununua cm na nguo?
..........loading......
 

mwogahafi kidogo unakuja kuja na natumaini unaweza nipa ushauli mzuri,ngoja niku PM
 
endelea tu kununua kila aina ya model ya simu na sasa mwezi ujao kama sikosei kuna iphone 6 inakuja,..
na pia kuna marba ya kijanja kama airmax,jordan, na timz kali zipo kwa soko..!sijui kama huko zipo hii kitu?!

ndyo vtu vyng hvy kila mwezi na change simu hata sijielewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…