naitwa mahmoud ramadhan,nna miaka 22,ni muajiriwa serikalini na tokea nimeajiriwa huu ni mwezi wng wa 6,na nnafanyia kazi pale shinyanga ni mtendaji mzuri tu wa kazi kutokana na kazi zilivyo,Sasa mwenzenu kila napo pata mshahara cfanyii kitu cha maana zaidi ya kununua simu na nguo nzuri,na mshahara una baki mwingi tu bt kitu cha kufanya nakua sina basi ni mwendo wa bakurutu a.k.a(MRINA).Naomba ushauri wako hata wa mawazo plz ili mnisaidie kijana mwenzenu coz hata nnapo pata RA yng mwendo ni huo huo,naomba mchango wako