Naomba Mbinu za kumuita mwanamke 'sogea tuishi'

Habari zenu Wakuu,

Naomba mnisaidie jinsi ya kumshawishi Mwanamke aje ghetto tuanze kuishi pamoja bila ya Ndoa.

Kuna Mrembo ana Dini na amenielewa vibaya sana (ananipenda), ila hataki tuishi pamoja mpaka tufunge Ndoa.

Wakuu mimi ni Kataa Ndoa ila nahitaji mema ya Ndoa.

WAKUU NIPENI MBINU ZA KUJITWALIA HIKI KIUMBE CHENYE KILA AINA YA UZURI.

Uzi Tayari.

Moderators naomba tuheshimiane.
Hakuna mbinu mkuu ni kuhakikisha tu Hajisikii vzr

Yaani mchawi mimba, sio tu anakuja mwenyewe Bali hadi kwao wanamtimua bila mahali anakuja mazima hahahahahahaha
 
Hakuna mbinu mkuu ni kuhakikisha tu Hajisikii vzr

Yaani mchawi mimba, sio tu anakuja mwenyewe Bali hadi kwao wanamtimua bila mahali anakuja mazima hahahahahahaha
Yani kama ulikuwa kwenye akili yangu Mkuu.

BARIKIWA SANA!

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom