Hahaha duuh huo ni mtihani,first born wangu alinyonya hafi miaka miwili na miezi mitatu, kila mbinu aligoma nikamwanzisha day care akawa anashida asubuhi hadi saa sita, it nilikua nimeshamwambia mwalimu kwamba dogo ananyonya sana a mbinu zote za kumwachisha zimegima, mwalinu akamwita akamwambia watoto wanaonyobya hawaruhusiwa kwenda shule, duuh siku hiyo ninetoka kazini akniambia taki tena nyonyo mimi ataka chule tu
Second born wa kiume ndo alinyonya hadi miaka miwili na nusu, kilambinu iligoma, nikabeba mimba nyingine, wakazi huo nilikua natapika sana na nilikua weak kwa hiyo ikifia wakati nikalazwa hospitali wiki nzima, niliporudi alikua kadhasahau nyonyo
Wa tatu yeye alinyinya mwaka na nusu halafu nikabeba mimba nyingine, kirho safi akaendelea na amziwa ya kopi sema amegoma kuacha kunywa amziwa kwenye chuchu mpka aleo n ana miaka mitatu na nusu, n hawezi kulala bila kujibembeleza na chuchu, kwa siku anamaliza chuchu hata tani, shuleni ana kopo lake na yakiisha wanamkorogea wanajaza kwenye chuchu yake
Huyu last born ndio balaa, kwa sasa menibatiza jina ananiita nyonyo, akiniona tu anaita nyonyoooo
Ana miaka 2 sasa kasoro siku kadhaa
Ila kila nachojaribu kufanya naona namuumiza analia sana nikisema nimkazie siku hiyo asiguse nyonyo.
Ananikondesha sasa hivi maana spidi ya kunyonya imekua kubwa.
Nipeni mbinu rafiki za kumuachisha ziwa mwanangu bila kumuumiza
Sent using
Jamii Forums mobile app