Naomba mawazo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba mawazo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Buyaga MUSHO, Sep 20, 2012.

 1. B

  Buyaga MUSHO New Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je wanazuoni wenzangu ebu nisaidie mawazo,elimu yetu watanzania ni utatuzi wa matatizo tuliyonayo wote au ni utatuzi wa mtu mojamoja?
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  wewe kama wewe ulishatatua tatizo lipi kwa kutumia hiyo elimu yako ulionayo..
   
 3. Mr Penal Code

  Mr Penal Code JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 777
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  ukiwa na akili ya kuitumia Hyo Elimu utatatua matatizo yote mkuu.
   
 4. E

  Edsonson Jr Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata ingekua ya kutatua matatzo ya jamii nzma(tuliyonayo wote) bt huwez wafkia wote, kfup elimu imegeuka kua siraha ya utatuz wa matatzo ya m2 bnafc.
   
Loading...