Naomba Masada wa mawazo

highlam

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
23
Reaction score
62
Habari wote, kwa kifupi naomba msaada juu ya mawazo yenu, nimeumizwa saana na mume wangu katika uaminifu wa ndoa, nimengundua mume wangu si muaminifu hata kdg nimeona mpka video akiwa guest na mwanamke, namshukuru Mungu amenionyesha Vitu vingi mnooo anavyofanya, najitunza kutokana na mshahara wangu mwenywe lakini nimekuja kukuta msg na video mume wangu yupo hotelin, guest house anakula raha na wanawake tofauti tofauti wengi, nimeumia mnoo, nafikiri kumuacha aendelee na wanawake alionao, kuanzia sasa ,ingawa anaomba msamaha siwezi msamehe, amenitenda makubwa moyo wangu unauma mnooo nafunga mwaka sijitambui



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana. Je! Umejaribu kumpa nafasi akueleze sababu zilizomfanya achepuke ili tu kujiridhisha kuwa na wewe hauna mchango ktk hilo tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana, usifanye maamuzi ya haraka. Hama hapo nyumbani kwa muda ukijitafakari pia pima magonjwa ya zinaa kama umeambukizwa.
 
Nilitaka kuchangia ila mwishoni kumbe jibu la tatizo lako tayari unalo,kikubwa tu kila la heri katika maamuzi utakkayoyachukua...nawaza ungekuwa mwanamke wa kiislamu,maana upande ule jamaa wanaruhusiwa hadi wanne,si ndio ungekufa?
sisi wanaume wote ni wamalaya,vumilia tu..
 
Umesema mwenyewe huwezi kumsamehe, basi nakushauri chukua vilivyo vyako amsha popo
 
sasa kama huwezi kumsamehe inamaana tayari ushafanya maamuzi sasa unataka ushauri wa nini tena
 
Wanaume wengi wana mke zaidi ya mmoja, yeyote utakayemtafta atakuwa na mwingine. Shukuru Mungu umembaini mmeo, msamehe alaf ongeza uwajibikaji kwenye ndoa, atapunguza na kubakia na wewe tu. Heri shetani umjuaye kuliko malaika usomjua .Futa machozi, kaa na mmeo tena kesho nendeni viwanja mkajivinjari ukaondoe stress. Yale uloona kwenye video, kamfanyie maradufu. Mawazo uloomba ndo hayoo. Mme haachwi kwa kufumaniwa
 
haya mambo yanauma sana kidogo yaniue 2018 lkn mungu mwema niliombewa maisha yakaendelea ila ni vidonda visivyopona kabisa kikubwa amini kuwa kuna maisha baada ya kusalitiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Duh!! Wee noma mwanawane ...umempa ukweli live kabisa. Wanaume wanapenda kugegda papuchi diffdrent bana kwanza huyo mume wake ni mwanaume halisi...mke lazima ajje kuwa any ti.e anakula go akileta zake za kuleta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…