Second Fiddle
JF-Expert Member
- Dec 9, 2014
- 469
- 122
Unapenda niingie peku!?
Navua ila tukaviweke chumbani..
Wataiba
Acha hapo mlangoni ntapeleka
aya..nakusaidia Kubeba vyako!
Haaha Aya Sr.V..
Ucku mwema.
Uote nimeokota gunia la hela eeh
Aya ntaota umeniruhusu niingie chumbani.
Chumbani kuna mwenyewe...
Haaha naingia kuchukua viatu vyangu
Viko hapo nyuma ya mlango
Nahisi kichwa sio kigumu kueleweka, awe binti au kijana nahisi atafaa sana you're coldly
welcome.
NB+NOTE:Modereta usiuhamishe huu uzi kwenda love conect kwani nilianzia kule tangu asubuhi kimya ndo nikaamua kuja kwa ma-mmu, Sunaona wanavyonipa ushirikiano...