Naomba maoni yenu wanajamvi kwa maswali haya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba maoni yenu wanajamvi kwa maswali haya?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mmaroroi, Aug 12, 2011.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Je kuna mamluki Chadema?Je CCM kwa kuwa imechafuka inapambana kupandikiza mamluki Chadema ili isifurukute 2015?Kwanini CCM inazusha uongo wowote kwa Chama tishio na wananchi wanaitikia?Mfano CUF ilizushiwa kuagiza visu na iliitwa Chama cha kidini.Chadema iliitwa chama cha wachagga sasa kinaitwa chama cha wakatoliki.Kwani Chadema haiwezi kuwa na mtandao wa kudhibiti hujuma hizo na kupandikiza mamluki wao CCM?
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  siku zote mchawi mpe mtoto amlee.
  chadema inasonga mbele.
  wao wana fitina,uchawi,rushwa na wizi.
  sisi tu mungu.
  peoplesssssssssssssss......................
  kamata mwizi meeeeeeeeeeeeeeeeeeeen.
   
Loading...