mavuno nyamanoro
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 587
- 156
ok mkuu.........izo 2by4 =42 ni kwa mbao za urefu gani...
mita nne kwa msaada zaidi email ni kombaemmanuel42@gmail.com. au 0765 156 828
ok mkuu.........izo 2by4 =42 ni kwa mbao za urefu gani...
Jamani msouth mgongo mpana sqm moja shi ngapi??
Tatizo unaharibu Uzi,watu wanauliza ufundi we unaongea mengine unaharibu uziHa ha ha! Umepanick! Kawaida tu bosi, hizo hasira zinaonyesha fika huajajenga (umechelewa kujenga), maana umepandisha jazba na umechukulia personal.
Majengo mengi makubwa makubwa unayoyaona mjini yana mikopo, wewe unapanick mtu kuulizwa kama amekopa!