kelphin JF-Expert Member Joined Dec 24, 2019 Posts 10,539 Reaction score 17,487 May 15, 2025 #1 Niaje wakuu Naomba info za aneezijua hizi bike Ubora na udhaifu wake Kwa matumizi ya kawaida tu ya ki sela
Niaje wakuu Naomba info za aneezijua hizi bike Ubora na udhaifu wake Kwa matumizi ya kawaida tu ya ki sela
bandeko andeko JF-Expert Member Joined Oct 20, 2021 Posts 1,228 Reaction score 2,476 May 15, 2025 #2 ninachojua ni imara na mkasi sana kwa sasa
kelphin JF-Expert Member Joined Dec 24, 2019 Posts 10,539 Reaction score 17,487 May 15, 2025 Thread starter #3 Wazee
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,519 Reaction score 46,521 May 15, 2025 #4 Yamaha keyboard,Yamaha music system,Yamaha machine ya boat,Yamaha piki piki ukiona hivi vitu jua ni bora tu ukiwa na pesa nunua tu Yamaha kwenye bidhaa zao wameweka ubora kwanza ndio maana hata bei za vifaa vyake zipo juu kidogo.
Yamaha keyboard,Yamaha music system,Yamaha machine ya boat,Yamaha piki piki ukiona hivi vitu jua ni bora tu ukiwa na pesa nunua tu Yamaha kwenye bidhaa zao wameweka ubora kwanza ndio maana hata bei za vifaa vyake zipo juu kidogo.
Fund man JF-Expert Member Joined Feb 24, 2021 Posts 4,215 Reaction score 5,693 May 15, 2025 #5 Wewe uko wapi?kama uko mikoani utasumbuka spare.ila ukiwa dar mwake sana🤣🤣🤣🤣🤣
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,407 Reaction score 102,489 May 16, 2025 #6 Extrovert, Mshana Jr ushauri wenu muhimu hapa
Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,535 Reaction score 20,730 May 16, 2025 #7 Achana na hiyo kitu, chukua pikipiki Honda yoyote XLR ukiweza, utanishukuru
Seawhale JF-Expert Member Joined Sep 25, 2016 Posts 1,877 Reaction score 2,482 May 17, 2025 #8 Mwisho wa siku ni lazima ufunge injini ya Sanlg. Asilimia kubwa ya pikipiki za Honda XL na YAMAHA zilizopo mtaani, zinatumia injini za mchina.
Mwisho wa siku ni lazima ufunge injini ya Sanlg. Asilimia kubwa ya pikipiki za Honda XL na YAMAHA zilizopo mtaani, zinatumia injini za mchina.