Naomba maelezo ya Yamaha dt 125

Naomba maelezo ya Yamaha dt 125

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
10,387
Reaction score
17,095
Niaje wakuu
Naomba info za aneezijua hizi bike
Ubora na udhaifu wake
Kwa matumizi ya kawaida tu ya ki sela
IMG_3056.jpeg
 
Yamaha keyboard,Yamaha music system,Yamaha machine ya boat,Yamaha piki piki ukiona hivi vitu jua ni bora tu ukiwa na pesa nunua tu Yamaha kwenye bidhaa zao wameweka ubora kwanza ndio maana hata bei za vifaa vyake zipo juu kidogo.
 
Wewe uko wapi?kama uko mikoani utasumbuka spare.ila ukiwa dar mwake sana🤣🤣🤣🤣🤣
 
Achana na hiyo kitu, chukua pikipiki Honda yoyote XLR ukiweza, utanishukuru
 
Mwisho wa siku ni lazima ufunge injini ya Sanlg. Asilimia kubwa ya pikipiki za Honda XL na YAMAHA zilizopo mtaani, zinatumia injini za mchina.
 
Back
Top Bottom