Naomba maelezo kuhusu kozi ya NABE

Naomba maelezo kuhusu kozi ya NABE

be unique

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
2,381
Reaction score
2,293
Natumaini mpo salama wana jf,

Nina swali hapa, napenda kupata maelezo kwa anayeelewa zaidi kuhusu course inaitwa NABE. Sijui ina maana gani ila kwa tetesi nasikia usipofikisha 'D' 4 form four ndio unasoma hii.

Kwa mwenye uelewa naomba anipe maelezo zaidi.
 
kuna jamaa yangu yupo TIA saiv anasoma degree ya procurement ..alisoma Nabe baada ya kupata zero form four mwaka 2008 .....namba yake ya simu ninayo kama ukihitaji niPM nikupe ili umuulize
 
Naona nashindwa kuku pm,ila nilkiwa naomba unitumie kwangu kama itawezkana.
 
Ndio hili nisome vzur na kufikia lengo
Ni primay course kwenye taaluma ya biashara pamoja na uhasibu. Inasomwa kwa stage nadhani I - III kama sikosei. Na pia ni kwa wale ambao hawana credit za kutosha japo sio lazima ila sio kweli kama mdau hapo juu kuwa unaweza kusoma ukiwa na div. 0.

Hivyo ukimaliza hatua uzote unaweza kuchagua chuo chochote cha biashara na au ukajiunga na Bodi nyingine za kitaaluma kama Uhasibu na Ugavi.
 
Hapo nimekuelewa vizuri mkuu,khasante sana
 
kuna jamaa yangu yupo TIA saiv anasoma degree ya procurement ..alisoma Nabe baada ya kupata zero form four mwaka 2008 .....namba yake ya simu ninayo kama ukihitaji niPM nikupe ili umuulize
mkuu naomba nijuze zaidi kuhusu hii course ya nabe
 
Back
Top Bottom