Picha JF
1. Hapo kwenye sehemu ya
kuandika msg utaona chini kuna
vifungo vitatu: Post Quicky Reply, Go
Advanced na Cancel. Tumia Go
Advanced.
2. Ukifungua Go Advanced utaona
link ya Attachment Management bofya hapo, utaona dirisha la ku-
apload picha, hapo uta-browse
sehemu uliyoweka picha yako mf.
flash, CD, kompyuta yako nk. Then
UPLOAD picha yako na kui-Submit
Reply.
3. Hapo utakuwa umemaliza kazi.
Karibu.