Naomba maelekezo ya kozi

Naomba maelekezo ya kozi

Krn

Member
Joined
Jun 28, 2019
Posts
21
Reaction score
5
Samahani wadau
anayefaham hii kozi ya community development anijuze kidogo mana bado npo kwenye Giza Nene je mtu ukisoma hiyo kozi utafanya kazi ipi mim ni mwihitimu wa kidato cha sita 2019 mchepuo wa HGK na nimepata division two ya 11 so natalajia kufanya maombi ya chuo tafadhali anayefaham hyo kozi anijuze asanteni
 
Shukuran kak je kwa ufaulu wng huo kozi gan nyngne itakayonifaa kama second choice na third pia chuon
 
Hii unakuja kuwa nan?
.bachelor of art in public relations and marketing
 
Ungesema kwanza wewe unataka kuwa nani ili wadau wakushauri usome kozi ipi kutimiza haja ya moyo wako!
 
Education au community development
 
Ndyo so IPI nzur kat ya izo hususan kwny ajra
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom