Naomba maelekezo tafadhali

Naomba maelekezo tafadhali

Jovetic

Member
Joined
Jul 17, 2017
Posts
29
Reaction score
9
Habari zenu wana jukwaa,
Mimi ni muhitimu wa kidato cha 6 mwaka 2017 HGK combinion.Naomba ushauri ni faculty gani ya arts ambayo nikisoma naweza kujiajiri mwenyewe au kuajiriwa? Naomba maelekezo tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungetaja passmark zako ingekuwa rahisi kushauriwa
 
Back
Top Bottom