Yahya Asaa
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 244
- 28
Habari za jioni Naomba msaada nataka kudownlod Dropbox kwenye pc Mwenye link ya dropbox anisaidie Natanguliza shukrani kwenu
bro natumia whattsApp kwenye pc lkn mpaka nifungue bluestack ndio niipate whattsApp
Je hawezekani ikawa kwenye screan kama program nyengine
Nikaweza kufungua kwa urahic