Given Edward
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 850
- 203
teh teh! hii kali, kweli watoto noma!!!!!!!!!!!
Ahahahahaha!!
kama ni mimi naita huyo mtoto namtia viboko kwishna, wengine wote hawasemi tena, ubabe ubabe
Mkuu ndìo maumbile yangu sina jinsiDuuh!! Chatu ndg yangu hilo domo na wewe chapati hukunji!!! Lol
Mwalimu aliingia darasani na akaanza kufundisha ubaoni. Katikati ya pindi si akajamba! Wanafunzi wacha wacheke we! Mpaka akaona aibu akaomba likizo miezi 3. Aliporudi,
Mwalimu: wanafunzi tuliishia wapi?
Wote: ULIPOJAMBA!