Naomba kweli mimi naomba mwenzenu....

Naomba kweli mimi naomba mwenzenu....

D'angelo

Member
Joined
May 11, 2011
Posts
10
Reaction score
0
Jamaniiiiii eeeh haba na haba hujaza kibaba na ukifika ugenini sharti ujitambulishe.....mime mwenzenu ndio kama hivyo.....naomba jamaniiii.....mi ni mwanaume haaaaswaaaa tena wa shokaaaaa.......sijaoa wala sijaolewa tehe tehe tehe.....mabint nipokeen kwa mikono miwili,wazee wenzangu mkono mmoja.....pamoko daima
 
Unatafuta mchumba mazee?Mbona mbwembwe nyingi?Acha hizo wewe.Karibu.
 
Jamaniiiiii eeeh haba na haba hujaza kibaba na ukifika ugenini sharti ujitambulishe.....mime mwenzenu ndio kama hivyo.....naomba jamaniiii.....mi ni mwanaume haaaaswaaaa tena wa shokaaaaa.......sijaoa wala sijaolewa tehe tehe tehe.....mabint nipokeen kwa mikono miwili,wazee wenzangu mkono mmoja.....pamoko daima
hapo unapenda lipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom