NAOMBA KWA MUNGU YASITOKEE TENA HAYA ( Tanzania Police Killings on Zanzibar ) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NAOMBA KWA MUNGU YASITOKEE TENA HAYA ( Tanzania Police Killings on Zanzibar )

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Oct 28, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280

  NAOMBA KWA MWENYEZI MUNGU YASITOKEE HAYA WAKATI WA UCHAGUZI SIKU YA JUMAPILI HUKO ZANZIBAR NA PEMBA AMEEN.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. A

  Annony Member

  #3
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It is really sad!
  Yaan ndiyo kazi ya polisi wetu hii kweli!
  God forbid!
   
 4. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mwenzio akinyolewa !!!!!!!!!!!!!
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  wewe bana paka mafuta........................ Kila ndege huruka kwa Aiport
   
 6. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Tuna ombea uchaguzi uishe kwa amani, matokeo yakubalike maana penye ushindani lazima mshindi mmoja apatikane wengine wakubali kushindwa. kwa hivyo tutakuwa tumeepuka kusababisha polisi kuingia kati ili kufanya utulivu ulirudi hata kama kuna watakao umia vibaya pengine wengine kufa ili mradi amani isitoweke.

  Naomba tuwe watulivu tuache jazba na ushabiki wakati matokeo yanatoka maana agents wa vyama watakuwa wameyasaini na tuyadhibitisha kwenye kila pooling station.
   
Loading...