Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
Wadau,salam
Mim sio mjuzi wa mambo ya it na computer ila huwa napenda kujifunza hayo mambo kwa ajili ya kupanua uelewa wangu tu.
Sasa kila nikipitia kuhusu operating system hasa hizi open source naambiwa "based on linux kernel",nikitafta maana yake naambiwa tena"unix like" nachoka kabisa.
Ningependa nijue hiyo linux kernel ni nini hadi os zote ziwe based kwake,kingine je hakuna os inayoweza kutengenezwa bila kua "based" kwake?,je closed os zinakua "based" kwenye nini?
Natanguliza shukrani.