donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
hata mimi mkuu nliambiwa ndio maana si vizuri kuingia bandani usiku gizani labda uwash2e kwanza kwa lifimbo maana hutoa sumu hiyo kama defense mechanismHata mi nliwah kuskia lkn nliskia ikiingia usiku ndo huweza kutoa hio sumu iwapo utamchokoza na akikudonoa.
hahahahaha, uko juu mkuu Makuku ReyMi ndio Makuku Rey, nimeanza kufuga kuku wa kienyeji kuanzia form one 2002,mpaka leo hii, siifahamu hyo sumu na nmekuwa nikichokozana mara kibao tu na kuku hao, mbona hawakurusha sumu?......
Mweeeee....sasa hiyo sumu iko pande ipi ya mwili wa kuku. Huku uswahilini tunakaangiwa mpaka utumbo na tunakula tu.
Sijawahi kusikia hii makitu
Kaizer hii makitu ipo tena kwa wale kuku wanao atamia, kama huamini siku ukienda kijijini kwenu nenda sehem anapolala kuku ane atamia wakati wa giza uingize mkono kny mayai yake uone kitakacho kutokea. Kabla hujafa utuleteee majibu