nadhani ni hao tu..........kuna wtu wengine wanafanya Comedy tena hapa.......ni hapo hapo tu
BTW Nimekumiss wii Kaka angu mzima
ILA ukinywa na pombe ndio utacheka vizuri.
Nalog off
blaza upo ...?
pole kaka, pamoja...nipo kaka niliibiwa Simi basi nikawa niko nje ya ulingo kidogo
Nalog off
kwa bibi nyaumi sio mtu wa starehe lakini napenda kucheka ni wapi hapa bongo dar es salaam wanafanya stand up comedy. Hapo lazima nitamshawishi mr kiwatengu tuende maana najua lazima turudi tunafuraha..
Embu nipeni kumbi ambazo wanafanya stand up komedi plzzzz.
mwana nyamalaa karibu sanaa je wapenda tarabu,baikoko,kigodoro,slot machine,disco,muvi tuambie ukipendachondo wapi huko jamani
hata mie nimekumiss. kakio mzima kabisa ila................nafikiria huu mwaka mpya sijui nimwache - tena nimwache na vitoto vyake vikishazaliwa!
unapenda kula kulaaa,hata kimoja hapo sipendi
mwana nyamalaa karibu sanaa je wapenda tarabu,baikoko,kigodoro,slot machine,disco,muvi tuambie ukipendacho
Unasema..? Kumbe nikiwa sipo unaongea hivi..? Kwa kuwa umenilisha lile dubwana eeh.. Jaribu uone.. Kabila langu walijua na unajua pia ninamiliki ile kiboko yenu..
basi njoo lango la jijii.....mmmh bora hata nikaserebuke pale mango g
nashukuru nimepoa,natumia simu basi hizi quote huwa sizioni mpaka nikitumia kompyuta.pole kaka, pamoja...