Koh koh koh!!...
evans bukuku na troup yake ya vuvuzela entertainment anachekeshaga pale nyumbani lounge..........embu gugo-gugo huko utapata maelezo kamili!
nadhani ni hao tu..........kuna wtu wengine wanafanya Comedy tena hapa.......ni hapo hapo tu
BTW Nimekumiss wii Kaka angu mzima
Wakohoa Wacheka ?
we vicheko vyako sio kabisa sivitaki
ohoo sikujua kama network yako ni kubwa sana sory