naomba kuuliza

amina ali

Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
52
Reaction score
11
Hivi jamani bikra inaweza kurudi baada ya kukaa mda mrefu bila ya kusex???
 
Yaani we isahau. Kama umeshawapa watu wamebanguka sahau.

Bikra ni kangozi, sasa sijui hayo malimao unayoambiwa yana uwezo gani wa kurudisha kagozi ambako hakapo.
 
He he he kitu cha mtu kimeharibiwa hapa!!!!
sijui alikuwa masomoni, sijui alikuwa anasubiri ndoa.........
 
Nijuzeni wana JF mwenzen nilibakwa na mtu wa familia, pia nakaribia ndoa ila mwenza wangu sijamwambia ukwel najiskia vibaya ila sitak kuonekana muhuni maana haikua ridhaa yangu
 
Pole sana...
Nijuzeni wana JF mwenzen nilibakwa na mtu wa familia, pia nakaribia ndoa ila mwenza wangu sijamwambia ukwel najiskia vibaya ila sitak kuonekana muhuni maana haikua ridhaa yangu

You guys have made my day...lolz
 
amina ali pole sana unachotakiwa kufanya nikumwambia mwenzio ukweli kuliko ajiaminishe kuwa huko bikra alaf ukaja kumwambia ulibakwa hato kuamini! Ni wakati wako wakuvunja ukimya, kama ana kupenda kweli atakuelewa kwani sidhani kama yeye ana tafuta bikra bali upendo wa kweli!

Nijuzeni wana JF mwenzen nilibakwa na mtu wa familia, pia nakaribia ndoa ila mwenza wangu sijamwambia ukwel najiskia vibaya ila sitak kuonekana muhuni maana haikua ridhaa yangu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…