Naomba kuuliza?

Hiyo huwa ndio gear ya kuondokea ili usione kama hana time nawewe tena so inabidi kuzuga kukuomba namba wakat anajua kabisa hamna ukaribu tena.
 
Ktk vitu vimenipita na sina mzuka ni status na kujipost mitandaoni. Yaani ziwezagi kujipost mitandaoni wala hayo mambo ya status naona kama utoto.

Whasap ndo nimeweka picha tu profile
Tumefanana 💯

Mi profiles za mitandao yote sijaweka picha yangu
 
Ukiona hivyo hujaingia kwenye mfumo ,hii ni kawaida in this life
 
Mimi kusave namba ya mtu niliyesoma naye au tulifahamiana zamani tukapoteana sioni shida kwa sababu google contact haijaagi

Vijana acheni ego tengenezeni connection ingieni kwenye mfumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…