tata mvoni
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 534
- 81
ni bora kununua computer ingine mkuu, maana kwa RAM hiyo nadhani hata simu unayotumia imeipiku hiyo computer',,hapo unahitaji kubadilisha vyote kwa pamoja kama utaamua kubaki na hiyo computer'.....!Hivi kati ya R.A.M na PROCESSOR ni kipi kinachoifanya computer iwe na speed?.Nauliza hivi kwa sababu nina laptop yangu Pentium 3 ina RAM 64MB na PROCESSOR 615 Mhz yaani inachukua muda mrefu kweli ku-access data.JE,nibadilishe RAM au PROCESSOR?
<br />Nakushauri ununue laptop mpya, hiyo usiitupe, iweke mtoto wako aje kuanza nayo kujifunzia macomputer
Old is Gold...lol!!!Mkuu hiyo laptop peleka makumbusho...too old.
.Nakushauri ununue laptop mpya, hiyo usiitupe, iweke mtoto wako aje kuanza nayo kujifunzia macomputer
Huwezi jua...labda watakuwa wanjifunzia kuwasha na kuzima...pia computer kama hizo ni nzuri sana kwa kufundishia UVUMILIVU..hahahaaaa...unadouble click afu unaiacha kwanza unaenda kunywa chai...ukirudi kitu kimejibu!.
hiyo haifai hata kwa watoto, watoto matumizi yao ya computer ni makubwa kuliko watu wazima, game wanazotumia zinahitaji high speed computer,