Naomba kuuliza

tata mvoni

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
534
81
Hivi kati ya R.A.M na PROCESSOR ni kipi kinachoifanya computer iwe na speed?.Nauliza hivi kwa sababu nina laptop yangu Pentium 3 ina RAM 64MB na PROCESSOR 615 Mhz yaani inachukua muda mrefu kweli ku-access data.JE,nibadilishe RAM au PROCESSOR?
 
ni bora kununua computer ingine mkuu, maana kwa RAM hiyo nadhani hata simu unayotumia imeipiku hiyo computer',,hapo unahitaji kubadilisha vyote kwa pamoja kama utaamua kubaki na hiyo computer'.....!
 
Tupa hiyo compyuta haiokoleki. 64 Mb ram unatumia Operating system gani?
 
Ebwana!!speed ya computer ni RAM,na hiyo yako ni ndogo sana!!ndo mana OS yako pia inazingua!!!Badilisha RAM,weka hata 500MB au 1GB mkuu!!!
 
mnh speed ya computer ni processor na ram ni ability ya kuhold mafile mengi at a same time. Mfano chukua kinu na mchi kinu kinahold then mchi unaponda. So kinu kiwe ram na mchi processor.

Kaka badilisha vyote but sikushauri maana ukieka ram kubwa na processor utaua mashine
 
Duh..kumbe na computer za aina hiyo bado zinaexist!!!
 
OMG! 64 MB :O... duuuh! ata kama wanasemaga OLD IS GOLD mmh aisee bora nunua nyingine kaaah hivi hard disk ina space gani i bet its 2 GB :embarrassed:
 
hyo ni antque it shud be on museum by nw! Du cm yngu ynyewe ina ram 256mb!
 
Nakushauri ununue laptop mpya, hiyo usiitupe, iweke mtoto wako aje kuanza nayo kujifunzia macomputer
 
Nakushauri ununue laptop mpya, hiyo usiitupe, iweke mtoto wako aje kuanza nayo kujifunzia macomputer
.

hiyo haifai hata kwa watoto, watoto matumizi yao ya computer ni makubwa kuliko watu wazima, game wanazotumia zinahitaji high speed computer,
 
.

hiyo haifai hata kwa watoto, watoto matumizi yao ya computer ni makubwa kuliko watu wazima, game wanazotumia zinahitaji high speed computer,
Huwezi jua...labda watakuwa wanjifunzia kuwasha na kuzima...pia computer kama hizo ni nzuri sana kwa kufundishia UVUMILIVU..hahahaaaa...unadouble click afu unaiacha kwanza unaenda kunywa chai...ukirudi kitu kimejibu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom