Naomba kuuliza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kuuliza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ombeni Charles, May 20, 2011.

 1. O

  Ombeni Charles Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mara nyingi nimezoea kuona/kusikia kila kunapotokea fujo lazima utasikia kumetokea mauaji ya RAIA yanayosababishwa na jeshi letu la polisi, na hakuna hatua yoyote inayochukuliwa zaidi tu ya serikali kutoa kifuta machozi kwa wafiwa. Kwa bahati nzuri humu JF tunao wasomi wanaojua sheria vizuri, naomba munieleweshe sheria inasemaje kuhusu jeshi la polisi je, polisi anaruhusiwa kuua raia ambaye hana silaha yoyote? Nawakilisha kwenu......
   
 2. x

  xman Senior Member

  #2
  May 20, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka hamna sheria inayoruhusu polisi kuua raia yeyote unless it's really necessary kuua pamoja na mazingira usika lazima yaoneshe necessity ya kuua, then ndugu yangu watu wetu wa usalama especially polisi, wanajeshi wanatawaliwa na mfumo wao wa sheria katika mambo ya jinai kama umeshawai kusikia kitu kinaitwa martial laws pamoja na martial courts so hutawaona wakichukuliwa hatua za kisheria katika mahakama zetu za kawaida.
  wao huwajibishwa kutokana na sheria zao bro.
   
Loading...